PRINTER ZA 3D ZINAWEZA KUBADILISHA NJIA YA BINAADAMU KUPIKA CHAKULA

Wanasayansi katika vyuo mbalimbali kama vile Chuo Kikuu cha Columbia wanaendelea na mabadiliko ya njia za binadamu kupika chakula kupitia (3D)printer.Ili kuachana na njia yao ya halisi kuendana na tekinolojia.


Mashine hizo zitakuwa zinazalisha chakula kupitia programu ya kompyuta zitakazo unganishwa nazo.Hi ni njia mpya ya uvumbuzi katika uchapishaji wa chakula.Hivyo itamfanya mwanadamu achague kupika chakula kwa mtindo au muoneka tofauti.
PRINTER ZA 3D ZINAWEZA KUBADILISHA NJIA YA BINAADAMU KUPIKA CHAKULA PRINTER ZA 3D ZINAWEZA KUBADILISHA NJIA YA BINAADAMU KUPIKA CHAKULA Reviewed by Elimutehama on 06:43:00 Rating: 5

No comments:

WASILIANA NASI KUPITIA

Barua pepe/Email:123shadhili@gmail.com
copyright@2016. Theme images by enot-poloskun. Powered by Blogger.