SAMSUNG INAMIPANGO YA UZINDUZI WA 128GB KATIKA KUHIFADHI KUMBUKUMBUKA NDANI YA GALAXY NOTE 7
NEW DELHI: Samsung ilizindua hivi karibuni Galaxy Note 7 nchini India mapema wiki hii. Uwezo wa sasa ni 64GB katika kuhifadhi kumbukumbu ambayo inaweza kuongezwa kuwa kubwa zaidi ukiongeza na microSD kadi na kufikia uwezo wa hadi 256GB . Watumiaji pia kupokea 15GB ya bure kwenye kuhifadhi data kutoka Samsung Cloud.
Sasa kampuni imesema kuwa inamipango ya kuanzisha 128GB toleo la smartphone katika soko la China. Kulingana na ripoti ya Korea Times, mkuu wa Samsung's Mobile Dong Jin Koh alisema katika mkutano katika mji wa Seoul kuwa kampuni hiyo ina mipango ya kuanzisha 128GB toleo la simu nchini China.
SAMSUNG INAMIPANGO YA UZINDUZI WA 128GB KATIKA KUHIFADHI KUMBUKUMBUKA NDANI YA GALAXY NOTE 7
Reviewed by Elimutehama
on
09:32:00
Rating:
No comments: