FACEBOOK INATAKA KUTOA MSAADA KWAKO KWENYE KAZI UNAYOITAFUTA



Facebook inajaribu kuwa duka moja la kuchagua mahitaji yako yote ya mitandao. Kampuni imekuwa ikifanya kazi ili kuongeza matumizi ya mtandao wa kijamii kwa kuanzisha makala ya michezo(game),kipengele cha kuagiza chakula, mawasiliano ya pamoja ya kushirikiana na VR programu, na vingine vingi. Sasa, inamipango ya kwenda hatua moja mbele katika uwanja mpya wa kazi (a job portal) kwa makampuni na wale wanaotafuta kazi.

Kipengele kipya cha Tovuti kitafanya biashara 'kutoa habari au dirisha la kuajiri, ambapo ajira inaweza kuwekwa na watafutaji wataomba.

"Kulingana na tabia ambayo tumeona juu ya Facebook, ambapo wafanya biashara ndogo ndogo wengi hutumia fursa na kuweka kazi zao katika kurasa za facebook, sisi tupo katika majaribio ya kwanza kwa viongozi wa kurasa(admins) kujenga matangazo ya kazi na kupokea maombi kutoka kwa waombaji," msemaji wa Facebook aliiambia TechCrunch.
FACEBOOK INATAKA KUTOA MSAADA KWAKO KWENYE KAZI UNAYOITAFUTA FACEBOOK INATAKA KUTOA MSAADA KWAKO KWENYE KAZI  UNAYOITAFUTA Reviewed by Elimutehama on 04:24:00 Rating: 5

No comments:

WASILIANA NASI KUPITIA

Barua pepe/Email:123shadhili@gmail.com
copyright@2016. Theme images by enot-poloskun. Powered by Blogger.