TOVUTI YA KFC YADUKULIWA KWA WATEJA WAKE WENYE UANACHAMA WA MPANGO WA UAMINIFU



Kampuni kubwa ya chakula KFC imewataka wanachama wa klabu ya uaminifu (loyalty club) nchini Uingereza kubadili nywila(passwords) zao baada ya kugundua tovuti yake imedukuliwa.
Kampuni ilisema baadhi ya watu milioni 1.2 wa klabu yake ya unachama wa Kanali wanaweza kuwa na habari zao binafsi, ikiwa ni pamoja nywila na mawasiliano yao binafsi , yanaweza kuchukuliwa na kudukuliwa katika tovuti yake.
Ingawa alisema "idadi ndogo" ya wateja wanauwezekano wa kuathirika, KFC ilituma ujumbe wa onyo kwa kila mtu ambaye ni mwanachama wa mpango huo wa uaminifu(Colonel's Club members) ambao wanafikia idadi ya watu milioni 1.2 .
TOVUTI YA KFC YADUKULIWA KWA WATEJA WAKE WENYE UANACHAMA WA MPANGO WA UAMINIFU TOVUTI  YA KFC YADUKULIWA  KWA WATEJA  WAKE WENYE UANACHAMA WA MPANGO  WA UAMINIFU Reviewed by Elimutehama on 03:33:00 Rating: 5

No comments:

WASILIANA NASI KUPITIA

Barua pepe/Email:123shadhili@gmail.com
copyright@2016. Theme images by enot-poloskun. Powered by Blogger.