UTAFITI:MATUMIZI YA SIMU KWA MASAA YA JUU NI MBAYA KAMA TV KWA AFYA ZA WATOTO, WANASEMA WASOMI WA HARVARD
Masaa ya juu ya matumizi ya smartphone ni kitu kibaya kwa afya ya watoto kama wanavyotumia televisheni, utafiti wa chuo cha Harvard unaonyesha.
Wale ambao wanatumia zaidi ya masaa matano kwa siku ambacho ni kiwango cha juu wana nafasi ya kupanda uzito kwa asilimia 43 , utafiti unaonyesha. Kiongozi mtafiti Dr Erica Kenney alisema: "Kwa kutumia smartphones, tablets, kompyuta, na videogames na kuhusishwa na sababu kadhaa za obesity(unene uliopitiliza) ambao ni hatari.
"Utafiti huu unatoa maoni katika kupunguza matumizi kwa watoto na vijana kujihusisha katika vifaa vingine vya matumizi inaweza kuwa muhimu kwa afya kama vile kupunguza matumizi katika televisheni."Utafiti umechapishwa katika Jarida la Madaktari la Paediatrics. Utafiti unaonyesha kwamba vijana wa leo kutumia muda wa juu zaidi katika vifaa vya mkoni kuliko kuangalia televisheni.
Takwimu zinaonyesha wale wenye umri wa kati ya miaka 5 na 15 kutumia masaa 15 kwa wiki mitandaoni ikilinganishwa na wengine ambao hutumia masaa 13 na nusu kuangalia TV. Takwimu zinaonyesha ngazi ya rekodi ya unene kwa marekani, ni mmoja kati ya watoto watatu anaongezeka uzito anapomaliza shule ya msingi.
Tam Fry, kutoka idara ya Taifa la jukwaa linashulikia unene, alisema smartphones lazima ziwe na mipaka katika matumizi "uzime" kabla ya kifungua kinywa na baada ya chakula cha jioni. "Na katika matumizi ya siku yanapaswa kuwa ya kuridhisha lakini sikuwaacha watoto. Na mida ya kwenda kulala na mida ya kifungua kinywa wanapaswa kuwa mbali au kuzima vifaa vyao, "alisema, na kuwataka wazazi kuweka zaidi" sheria kali "kwa manufaa ya afya za watoto wao.
UTAFITI:MATUMIZI YA SIMU KWA MASAA YA JUU NI MBAYA KAMA TV KWA AFYA ZA WATOTO, WANASEMA WASOMI WA HARVARD
Reviewed by Elimutehama
on
04:40:00
Rating:
No comments: