MAZIWA YA MAMA KUPONYA SARATANI



Maziwa ya mama yamefanyiwa utafiti na kugundulika kuwa yanaweza kutumika kama dawa ya saratani. Katika utafiti uliofanyika Sweden,maziwa ya mama yameonekana kuwa na "Hamlet" ambayo ina uwezo wa kutibu ugonjwa wa saratani.
Kwa mujibu wa habari,profesa wa chuo cha Lund nchini humo amesema kuwa kutokana na utafiti huo imeonekana kuwa mgonjwa wa saratani anapochomwa sindano ya Hamlet basi huonyesha nafuu kubwa. Wanasayansi wanaamini utafiti huo umekuwa kama muujiza.
MAZIWA YA MAMA KUPONYA SARATANI MAZIWA YA MAMA KUPONYA SARATANI Reviewed by Elimutehama on 09:46:00 Rating: 5

No comments:

WASILIANA NASI KUPITIA

Barua pepe/Email:123shadhili@gmail.com
copyright@2016. Theme images by enot-poloskun. Powered by Blogger.