DRONE YA ABIRIA 'EHANG 184' ITAANZA KURUKA JUU MWAKA HUU MJINI DUBAI.



Ndege ya dereva mmoja kwa mtindo wa drone ,au kwa ajili ya binadamu mmoja ukubwa wa quadcopter ambao ilizunduliwa katika maonyesho ya teknolojia ya CES 2016 (Consumer Electronics Show) kwa sasa inaweza kuwa tayari kubeba abiria mapema mwaka huu. Mkuu wa Usafiri na Wakala wa Barabara mjini Dubai alitangaza katika mkutano wa kilele mkutano wa dunia wa Serikali, Kampuni ya Kichina inayotengeneza drone ya abiria EHang 184 itaanza "shughuli zake" kuzunguka mji mpya wa kisasa (futuristic city) mwezi Julai 2017.



Drone hizo za mtu mmoja (Personal Flying Vehicle's specs) kwa sasa zinaweza kukimbia maili 31 kwa muda wa nusu saa, lakini uwezo wa abiria bado ni mdogo ni kwa mtu mmoja mwenye pound 260 na mzigo mdogo au suitcase. EHang 184 itakuwa inauwezo wa kuwasiliana kupitia mtandao wa 4G wireless na chumba kigodo cha kudhibiti mawasiliano.



Wakati watawala wa Falme za Kiarabu wakidai kupata haki za majisifu kama mji wa kwanza wa kuruka drones za abiria, maafisa katika mji wa Nevada marekani pia wanatafuta idhini ya FAA juu ya EHang 184 - hivyo tunaweze kuona EHang kuruka kwa drone mapema kuliko ilivyotarajiwa.

DRONE YA ABIRIA 'EHANG 184' ITAANZA KURUKA JUU MWAKA HUU MJINI DUBAI. DRONE YA ABIRIA 'EHANG 184'  ITAANZA KURUKA JUU MWAKA HUU MJINI DUBAI. Reviewed by Elimutehama on 02:26:00 Rating: 5

No comments:

WASILIANA NASI KUPITIA

Barua pepe/Email:123shadhili@gmail.com
copyright@2016. Theme images by enot-poloskun. Powered by Blogger.