MIRADI YA MAENDELEO KUHIFADHIWA KWENYE KANZI DATA (DATABASE)

Miradi yote ya maendeleo nchini Tanzania kuhifadhiwa kwenye kanzi data(database) ili kurahisisha uratibu, upembuzi, ufadhili na utekelezaji wake.Kituo cha kuchakata na kuzalisha umeme kwa njia ya gesi cha Kinyezi I kimekamilika kwa asilimia 88 na kinatarajiwa kuzalisha umeme kuanzia Septemba mwaka huu.

Akiongea katika ufungunzi wa mkutano wa kupata maoni ya taasisi za serikali zinazotekeleza miradi ya maendeleo, Kaimu Katibu Mtendaji wa Tume ya Mipango, Bi. Florance Mwanri alisema uwepo wa taarifa za miradi zitasadia taifa. “Uwepo wa kanzi data hii utakuwa na manufaa sana kwa taifa kwa sababu itakuwa rahisi kufanya maamuzi katika mchakato mzima wa kutekeleza miradi” alisema Bi Mwanri.

Kaimu katibu Mtendaji wa Tume ya mipango Bi. Florence Mwanri akifuatilia utangulizi wa mapendekezo ya uundwaji wa mfumo wa utunzaji wa miradi ya maendeleo- kanzi data(Database), kushoto kwake ni kaimu Mkurugenzi wa sera na mipango Bw.Omari Abdalah
MIRADI YA MAENDELEO KUHIFADHIWA KWENYE KANZI DATA (DATABASE) MIRADI YA MAENDELEO KUHIFADHIWA KWENYE KANZI DATA (DATABASE) Reviewed by Elimutehama on 03:01:00 Rating: 5

No comments:

WASILIANA NASI KUPITIA

Barua pepe/Email:123shadhili@gmail.com
copyright@2016. Theme images by enot-poloskun. Powered by Blogger.