WANASAYANSI WATATU WAGAWANA TUZO YA FIZIKIA YA NOBEL LA MWAKA 2016
Taasisi ya sayansi ya kifalme ya Sweden imetangaza kuwa tuzo ya Fizikia kwa mwaka 2016 inachangiwa na wanasayansi watatu wa Marekani Bw. David Thouless ambaye alipata nusu ya tuzo hiyo, na wengine wawili Duncan Haldane na Michael Kosterlitz wanaochangia nusu ya pili, ili kusifu mchango wao katika mahesabu.
WANASAYANSI WATATU WAGAWANA TUZO YA FIZIKIA YA NOBEL LA MWAKA 2016
Reviewed by Elimutehama
on
01:37:00
Rating:
No comments: