CHUKUA HATUA SASA, SMARTPHONES HIZI HAZITAWEZA KUTUMIA WHATSAPP BAADA YA DESEMBA 31,2016.
Unakumbuka Symbian mfumo wa uendeshaji(OS)? Ndiyo, hii ni OS(Operating System) ambayo kwamba ilikuja katika simu za mwisho za Nokia na katika mfululizo wa matoleo ya N. N8 mfululizo wa smartphone(simu janja) ambao pia baadaye pia Ilikuja kutumika Symbian OS.
Hata hivyo, kama wewe bado unatumia simu inayotumia Symbian OS-hivyo basi hutawezi kuwa na uwezo wa kupata Whatsapp baada ya Desemba 31, 2016.Programu hii ya kuchat ilithibitisha habari katika blog yake mapema mwaka huu. Hata hivyo, kwa wakati inakaribia, ni muhimu kuwakumbusha kwamba WhatsApp itaondoa msaada wake kutoka simu janja(smartphones), ambazo zinatumia Symbian OS. Pia hili litawakumba wachache wenye simu za Windows na Blackberry . Simu ambazo zinatumia Android 2.1 na Android 2.2 pia zitapoteza msaada wa Whatsapp.Kampuni itakuwa huo ndio mwisho wake kutoa msaada kwa ajili ya Simu hizo baada ya Desemba 31, 2016.
CHUKUA HATUA SASA, SMARTPHONES HIZI HAZITAWEZA KUTUMIA WHATSAPP BAADA YA DESEMBA 31,2016.
Reviewed by Elimutehama
on
05:46:00
Rating:
No comments: