TANZANIA INA KIWANGO CHA CHINI KATIKA GHARAMA ZA DATA YA SIMU KATIKA TAKWIMU BARANI AFRIKA
Tanzania ina kiwango cha chini katika gharama za data za simu kwa mujibu wa takwimu za gharama barani Afrika baada ya faida ya kuanzishwa kwa mtandao wa 4G LTE. TTCL inayomilikiwa na serikali inaushindani mkali kutokana na waendeshaji mbalimbali.
Kwa mujibu wa ICT Africa ripoti iliyotolewa hivi karibuni kama #DataMustFall katika kampeni mafanikio katika kanda barani afrika, Tanzania ina kiwango cha gharama nafuu kwa GIG moja kwa saa ni dola 0.89 za Marekani kwa kulinganisha na Afrika Kusini ambayo ni bei kwa saa ni dola 5.26 za Marekani.
Masoko mengine makubwa kama vile Misri, Kenya na Nigeria bado data zipo bei ya juu kuliko Tanzania Ripoti inasema, kuonyesha gharama ya 1GB ya data ya simu katika Kenya ni dola 5.0 za Marekani, Egypy ni dola2.8 za Marekani, Nigeria ni dola 5.26 za Marekani na Malawi ni dola 5.8 Marekani.
Kuna uhusiano mkubwa kati ya bei ya inayo chajiwa katika nchi husika kwa data na faida ya makampuni, ripoti ilisema. Akitoa maoni yake, mtaalam wa mawasiliano, Bw Kamugisha Kazaura, alisema gharama ya chini ya data ya simu za mkononi ilitokana na kasi ya data katika mtandao kwa njia ya teknolojia 4G LTE kutoka kampuni ya mawasiliano inayomilikiwa na serikali, TTCL na ushindani mkali kutokana kwa watoa huduma wakubwa.
TANZANIA INA KIWANGO CHA CHINI KATIKA GHARAMA ZA DATA YA SIMU KATIKA TAKWIMU BARANI AFRIKA
Reviewed by Elimutehama
on
03:55:00
Rating:
No comments: