MKUU WA KITENGO CHA TEKNOLOJIA CHA TWITTER AMUA KUACHA KAMPUNI.



Adam Messinger, afisa mkuu wa teknolojia katika kampuni ya Twitter , alisema katika ujumbe Twitter Jumanne kwamba ameamua kuachana na kampuni. kuondoka kwake ni muendelezo wa kile ambacho alifanya Adamu Bain, afisa mkuu wa uendeshaji waTwitter, ambaye aliondoka mwezi uliopita. Pia na watu wengine wa juu, kama wahandisi na timu ya viongozi wa vyombo vya habari pia waliondoka katika kampuni mwaka huu.

"Baada ya miaka 5 nimeamua kuondoka Twitter na kuchukua muda wa mambo mengine ," Mheshimiwa Messinger alisema katika post.

Adam Messinger @adam_messinger After 5 years I’ve decided to leave Twitter and take some time off. Grateful to @jack for the opportunity and to my team for shipping.

je wewe unaona ndio mwisho wa kampuni ya twitter. TOA MAONI YAKO.
MKUU WA KITENGO CHA TEKNOLOJIA CHA TWITTER AMUA KUACHA KAMPUNI. MKUU WA KITENGO CHA TEKNOLOJIA CHA TWITTER AMUA KUACHA KAMPUNI. Reviewed by Elimutehama on 03:32:00 Rating: 5

No comments:

WASILIANA NASI KUPITIA

Barua pepe/Email:123shadhili@gmail.com
copyright@2016. Theme images by enot-poloskun. Powered by Blogger.